Mwanamke Ashikiliwa na Jeshi la Polisi Kwa Kuiba Mtoto wa Mwezi Mmoja
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mwanamke mmoja, Anna Luambano (33) mkazi wa Kipawa jijini Dar es Salaam,kwa tuhuma za kuiba mtoto mchanga wa kike mwenye umri wa siku kumi,huko maeneo ya Kilimahewa katika Manispaa ya Morogoro.

Chapisha Maoni