Ni single mpya ya msanii kutoka Kenya, Brown Mauzo ambae leo anatukaribisha kuisikiliza hii single yake mpya Nitulize aliyomshirikisha Alikiba.
Unaweza ukabonyeza HAPA kusikiliza wimbo
huo mpya na ukishaisikiliza sio mbaya ukituachia na comment yako wakali
hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

Chapisha Maoni